ACWC INJILI
  • MAHUBIRI
  • NYIMBO
  • VIDEO
  • NENO LA SIKU
  • MAFUNDISHO
  • MAOMBI
IBADA

TUESDAY | JUMANNE WANAWAKE

IBADA

SUNDAY | JUMAPILI - SERVICE | IBADA

IBADA

MONDAY | JUMATATU | VIJANA

Video

Ibada Arusha Christian Worship Centre

IBADA

FRIDAY | IJUMAA MAOMBI

IBADA

WEDNESDAY| JUMATANO | MAFUNDISHO YA BIBLIA

IBADA

THURSDAY | ALHAMIS MAZOEZI PRAYS TEAM

IBADA

SATURDAY | JUMAMOSI MAZOEZI PRAYS TEAM

Devotion

DAILY DEVOTIONAL

Home Video

Ibada Arusha Christian Worship Centre

INJILI-ACWC



Video
  • Facebook
  • Twitter

Related Posts

Post a Comment

  • “Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho”.

    Yeremia 29:11
  • “Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu”.

    Yohana 16:33
  • Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpate wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho.

    1 Pet 1:5 SUV
  • "Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu."

    1 Wakorintho 1:18
  • “Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo”.

    Isaya 40:29
  • “usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu”.

    Isaya 41:10
  • “Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana Bwana, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha”.

    Kumbukumbu 31: 6
  • “Bwana ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza”.

    Kutoka 15:2
  • “kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu”.

    Luka 1:37
  • “Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha”.

    Mathayo 11:28
  • “Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake”.

    Mathayo 6:34
  • “Nami niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hata siku ya Kristo Yesu”;

    Wafilipi 1:6
  • “Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani”?

    Zaburi 27:1
  • “Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini”.

    Zaburi 34:8

MAFUNDISHO

  • facebook 1.4k
  • twitter 1k
  • instagram 1.4k
  • twitch 40k
  • tiktok 200k

Labels

  • Devotion
  • IBADA
  • Video

Video

Pages

  • Home
  • Contact Us
  • Sitemap
All Rights Reserved by INJILI-ACWC © 2022